Wasiliana nasi :+255 621 900 555
Mwanzo Mawasiliano Ingia Jisajili
SHERIA KIGANJANI
  • Tanganyika Law Society
      • AGM Timetable
      • Reports
      • Presentations
      • Speeches
      • Minutes
      • Motions
  • Mada
      • Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
      • Haki za Binadamu
      • Haki za watoto,wanawake na watu wenye ulemavu
      • Raslimali Ardhi
      • Mahakama za Tanzania na Mamlaka yake
      • Urithi na Mirathi
      • Ajira, kazi na Hifadhi ya Jamii
      • Ndoa na taratibu zake
      • Jinsia na ukatili wa kijinsia
      • Sheria ya Madai
      • Haki za raia katika mfumo wa Jinai
      • Mazingira na Uhifadhi wa mazingira
  • Habari
  • Kuhusu Sheria Kiganjani
  • Legal Aid Providers
      • MHOLA

Haki za raia katika mfumo wa Jinai

  • Nini maana ya jinai?

  • Mfano wa makosa ya jinai ni yapi?

  • Utawala wa haki jinai kwa ujumla umejikita katika kanuni kuu zifuatazo:-

  • Je, nini maana ya utawala wa haki jinai?

  • Mfumo huu unahusisha vitu gani?

  • Kwa nchini Tanzania, ni chombo gani kilicho mstari wa mbele katika mfumo huu wa haki jinai?

  • Ni chombo gani chenye mamlaka ya kumtia mtu hatiani/kumwachia hurukwa kosa la jinai?

  • Ni mahakama zipi zinazohusika katika kutoa maamuzi ya mashauri ya jinai?

  • Ni makosa yapi ya jinai yanaenda mahakama ipi?

  • Je, ni sheria ipi inayosimamia makosa ya jinai kwa kiasi kikubwa?

  • Je, nini tofauti kati ya makosa ya jinai na makosa ya madai?

  • Je, ni nani anaendesha kesi za jinai?

  • Ni sababu gani ambazo zinafanya Jamhuri kuendesha kesi za jinai?

  • Ni ofisi gani ya serikali ambayo inahusika moja kwa moja katika kuendesha kesi za jinai?

  • Je, ni taratibu gani zinatumika kumtia nguvuni mtuhumiwa?

  • Je, ukamataji kwa kutumia hati nini?

  • Vitu gani vinapaswa kuwepo kwenye hati ya mashtaka?

  • Je, ni nani anaweza kumkamata mtuhumiwa bila hati ya mashtaka?

  • Ni mazingira yapi yatamfanya mtu au askari kumkamata mtuhumiwa bila kuwa na hati ya mashtaka?

  • Nini wajibu wa raia baada ya kumkamata mtuhumiwa?

  • Nini maana ya dhamana?

  • Je, kila mtuhumiwa ana haki ya kupata dhamana?

  • Dhamana inatolewa na nani?

  • Je, ni nini mamlaka ya polisi katika mfumo mzima wa jinai Tanzania?

  • Je, ni haki zipi za msingi ambazo raia au mtuhumiwa anazo katika mfumo wa makosa ya jinai?

  • Ni sheria ipi inayoelezea taratibu zote za kukamatwa hadi kuendeshwa kwa mashauri ya jinai?

  • Je, ni hatua zipi zinazochukuliwa katika hatua ya kukamatwa hadi kupata adhabu?

  • Mtuhumiwa anatiwaje nguvuni?

  • Nini kifanyike iwapo mtuhumiwa atakaidi kutiwa nguvuni?

  • Je, mtuhumiwa anatakiwa kuwekwa katika mazingira ya kuteswa iwapo atataka kutoroka?

  • Je, ni lazima kwa askari polisi kujitambulisha?

  • Je, askari polisi anatakiwa kutoa au kutumia silaha katika kumkamata mtuhumiwa?

  • Je, ni sahihi kwa askari polisi kumdhalilisha mtuhumiwa wakati wa kumkamata?

  • Je, ni sahihi kwa askari polisi kumsababishia maumivu makali au hata kifo mtuhumiwa wakati wa kumkamata?

  • Ni wajibu gani ambao mtuhumiwa anao wakati wa kukamatwa?

  • Ni haki gani ambazo mtuhumiwa anazo wakati wa kukamatwa?

  • Nini maana ya upekuzi na nani anatoa mamlaka ya kufanya upekuzi?

  • Nani mwenye mamlaka ya kutoa hati ya upekuzi?

  • Upekuzi unatakiwa ufanywe kwa njia zipi?

  • Nani anapaswa kufanya upelelezi wa makosa ya jinai?

  • Kuna umuhimu gani kwa askari polisi anyefanya upelelezi kuuliza maswali na kunakili katika maandishi maelezo yanayotolewa katika upelelezi?

  • Je, mtuhumiwa ana haki gani wakati wa mahojiano?

  • Nini hasa ni dhumuni la upelelezi?

  • Upelelezi hulenga kujibu mambo yafuatayo;

  • Nini kinafuata baada ya mtuhumiwa kufikishwa kituo cha polisi?

  • Ni muda gani maalum uliowekwa kuhakikisha mtuhumiwa anafikishwa kituo cha polisi?

  • Je, mtuhumiwa anatakiwa kuhojiwa akishakamatwa na polisi na kufikishwa kituoni?

  • Nini lengo la mahojiano hayo?

  • Polisi anatakiwa kuuliza maswali ya aina gani kwa mtuhumiwa?

  • Mtuhumiwa anatakiwa kuhojiwa kwa muda gani?

  • Je, muda huo unaweza kuongezwa? Na kama ndio, nani anaweza kuongeza muda huo?

  • Je, askari polisi ana wajibu wa kumpa mtuhumiwa taarifa mtuhumiwa juu ya kuongezwa kwa muda wa mahojiano?

  • Askari polisi atafanya nini pale ambapo anahitaji muda wa ziada wa kumuhoji mtuhumiwa kama muda wa nyongeza umeisha?

  • Je, katika ombi hilo, mahakama inampatia mtuhumiwa haki ya kusikilizwa?

  • Ni mambo yapi ya msingi ambayo askari polisi anatakiwa kumtaarifu mtuhumiwa kabla ya mahojiano?

  • Je, askari polisi anaweza kumkataza mtuhumiwa kuwasiliana na ndugu/mwenza/mwanasheria wake?

  • Vipi ikitokea mtuhumiwa ni motto (umri chini ya miaka 18)?

  • Je, mahojiano baina ya polisi na mtuhumiwa yanatakiwa yanakiliwe vipi?

  • Nini kinatakiwa kifanyike baada ya kunakili mahojiano hayo katika maandishi?

  • Je, vipi kama mtuhumiwa anataka kuandika mwenyewe maelezo yake?

  • Je, askari polisi anaweza kutoa dhamana?

  • Je, ni vigezo vipi hutumika katika kutoa dhamana?

  • Je, mtuhumiwa akiomba dhamana polisi, anatakiwa kutoa pesa au mali yoyote?

  • Je, ni mambo gani yanatakiwa kuzingatiwa katika kutoa dhamana polisi?

  • Je, askari polisi anaweza kukataa kutoa dhamana?

  • Je, dhamana ya polisi inaweza kufutwa? Na ni katika mazingira yapi?

  • Je, mtuhumiwa anayevunja masharti ya dhamana anakuwa ametenda kosa kisheria?

  • Je, ni nani anayeweza kupeleka mashtaka ya jinai?

  • Je, dhamana ya mahakama inatolewa kwa mtuhumiwa yeyote?

  • Japokuwa, mahakama ina uwezo wa kukataa kutoa dhamana katika shitaka lolote lile kukiwa na mazingira yafuatayo:

  • Je, ni masharti gani yanayoambatana ndhamana inayotolewa na mahakama?

  • Kabla mtu hajapata dhamana lazima atimize masharti ya dhamana ambayo ni pamoja na yafuatayo:

  • Mdhamini wa mtuhumiwa ana wajibu gani?

  • Je, mahakama kuu ina mamlaka ya kubadili masharti yaliyowekwa na mahakama za chini?

  • Je, ni pande ngapi zinahusika katika kusikiliza kesi ya jinai?

  • Nini kazi ya mahakama?

  • Nini kazi ya upande wa mashtaka?

  • Nini kazi ya upande wa utetezi?

  • Kesi ya jinai inapoanza, nani mwenye wajibu wa kutoa maelezo?

  • Mshtakiwa anapaswa kufanya nini baada ya kusomewa mashtaka?

  • Nini kinafanyika baada ya mshtakiwa kukiri kosa?

  • Nini kinafanyika baada ya mshtakiwa kukana kosa analoshtakiwa nalo?

  • Je, kuna kinga yeyote au utetezi wowote dhidi ya makosa ya jinai?

  • Kinga hizo ni zifuatazo;

  • Utetezi wa ugonjwa wa akili utakubalika katika mazingira gani?

  • Utetezi wa kutenda kosa kwa msukumo wa ulevi unakubalika katika mazingira gani?

  • Utetezi wa umri mdogo ukoje?

  • Utetezi wa haki ya kujilinda na kujihami ukoje?

  • Utetezi wa kulazimishwa au Kushurutishwa Kutenda Kosa la jinai ukoje?

  • Utetezi wa kushitakiwa na Kuadhibiwa kwa Kosa Hilohilo ukoje?

  • Utetezi wa kushitakiwa na kuachiwa Huru ukoje?

  • Utetezi wa mtuhumiwa kutokuwepo eneo la tukio ukoje?

  • Utetezi wa kughadhabishwa au Kukasirishwa ukoje?

  • Je ni mazingira yapi yanapelekea utetezi wa kughadhabishwa au Kukasirishwa kukubalika?

  • Utetezi wa kuchukua au Kufanya Kitendo Dhidi ya Mali Halali ukoje?

  • Baada ya mahakama kusikiliza pande zote katika kesi, ni maamuzi gani yanaweza kutolewa?

  • Nini maana ya ombi la kupunguziwa adhabu na mahakama?

  • Ni sababu zipi mahakama inaweza kuzitumia kumpunguzia mshtakiwa adhabu?

  • Ni sababu ipi inazotumiwa na upande wa mahstaka katika kuomba mtuhumiwa asipunguziwe adhabu?

  • Je, ni adhabu gani ambazo hutolewa kwa makosa ya jinai?

  • Je, kukata rufaa au kuomba mrejesho ni haki ya mshtakiwa?

  • Je, haki hii ipo kwa upande wa mshatakiwa peke yake?


Sheria Kiganjani

SHERIA KIGANJANI inapenda kutanguliza shukurani zake za dhati kabisa kwa wewe uliyepitia tovuti hii ili kuweza kupata msaada au ushauri wa kisheria mtandaoni. Tafadhali sambaza ujumbe na usisite kumtaarifu jirani, rafiki au ndugu mwenye maswali na uhitaji wa huduma zetu za kisheria. Kumbuka “KUTOKUJUA SHERIA HAKUWEZI KUMWONDELEA HATIA MTUHUMIWA”

Soma Zaidi

Mawasiliano

Anuani:
House No. 436
Near Dar Free Market Mall
ADA Estate off Tunisia Road
P.O.BOX 6622 Dar Es Salaam
Namba Ya Simu:
+255 621 900 555
info@sheriakiganjani.or.tz
Tembelea:

Ramani

Copyright © 2022 All Right Reserved Sheria Kiganjani | Powered by Bluefin Solutions LTD