Wasiliana nasi :+255 621 900 555
Mwanzo Mawasiliano Ingia Jisajili
SHERIA KIGANJANI
  • Tanganyika Law Society
      • AGM Timetable
      • Reports
      • Presentations
      • Speeches
      • Minutes
      • Motions
  • Mada
      • Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
      • Haki za Binadamu
      • Haki za watoto,wanawake na watu wenye ulemavu
      • Raslimali Ardhi
      • Mahakama za Tanzania na Mamlaka yake
      • Urithi na Mirathi
      • Ajira, kazi na Hifadhi ya Jamii
      • Ndoa na taratibu zake
      • Jinsia na ukatili wa kijinsia
      • Sheria ya Madai
      • Haki za raia katika mfumo wa Jinai
      • Mazingira na Uhifadhi wa mazingira
  • Habari
  • Kuhusu Sheria Kiganjani
  • Legal Aid Providers
      • MHOLA

Ajira, kazi na Hifadhi ya Jamii

  • Je ajira ni nini?

  • Je Katiba ya nchi inalinda haki ya kuajiriwa?

  • Je sheria inazuia vipi ubaguzi katika kupata ajira?

  • Je, mwajiri anawajibika kuzuia ubaguzi mahali pa kazi?

  • Je ni nini kitapaswa kufanyika iwapo mwajiriwa haelewi kilichoandikwa katika Mkataba wa Ajira?

  • Je mwajiri anaweza kubadili mkataba wa ajira bila kumhusisha mfanyakazi?

  • Je ni kwa muda gani mwajiri anatakiwa kutunza mkataba wa ajira?

  • Kuna aina ngapi za mikataba ya ajira?

  • Je ni vigezo vipi huufanya mkataba kuwa halali?

  • Nini maana ya mikataba isiyokuwa na muda maalum?

  • Nini maana ya mkataba wa Muda Maalum?

  • Nini maana ya mkataba wa Kazi Maalum?

  • Je ni upi muda stahili wa mwajiriwa kufanya kazi?

  • Je mwajiriwa ana stahili aina ngapi za likizo?

  • Je likizo ya mwaka kwa mwajiriwa inapaswa kuwa ya siku ngapi?

  • Je mwajiriwa yupi ana stahili kupewa likizo ya mwaka?

  • Je Likizo ya ugonjwa inatolewa kwa muda gani?

  • Je ni utaratibu gani unatumika katika kutoa malipo ya likizo ya ugonjwa?

  • Je likizo ya uzazi hutolewa kwa siku ngapi?

  • Je, likizo ya uzazi huombwaje?

  • Baada ya muda wa likizo kuisha, mama anapaswa kuendelea kunyonyesha. Je ni masaa mangapi katika siku moja ambayo mfanyakazi anaruhusiwa kuyatumia kwa kunyonyesha?

  • Je mwajiriwa mwanaume anastahili likizo ya uzazi?

  • Je ni muda gani mwajiriwa baada ya kujifungua anapaswa kurudi kazini?

  • Je kuna aina nyingine ya likizo?

  • Nini maana ya vyama vya wafanyakazi?

  • Je, mfanyakazi ana haki ya kisheria ya kujiunga na vyama vya wafanyakazi? Au anaweza kufanya hivyo kwa hisani tu ya mwajiri?

  • Majukumu ya vyama vya wafanyakazi ni yapi?

  • Je kuna faida za kujiunga na vyama vya wafanyakazi?

  • Je, Tanzania kuna vyama gani vya wafanyakazi?

  • Nini maana ya kuachishwa kazi isivyo halali?

  • Je, jukumu la kuthibitisha kwamba kuachishwa kazi kwa mfanyakazi kulikuwa halali ni la nani?

  • Je ni sababu zipi haziwezi kutumika kumwachisha mfanyakazi kazi?

  • Wakati mwingine makampuni ya kibishara hufilisika na kufungwa. Ikitokea hivyo, ni upi utaratibu wa kuachisha wafanyakazi?

  • Je, notisi ya kuachishwa kazi inapaswa kutolewa wakati gani kwa mfanyakazi?

  • Je notisi ya kusitisha ajira inatakiwa iweje?

  • Je, upo wakati ambao haufai notisi ya kusitisha ajira kutolewa?

  • Je, baada ya kuachishwa kazi, mfanyakazi ana stahiki zipi?

  • Je mwajiriwa ana haki zipi baada ya mkataba kuisha ama kukatishwa?

  • Je ni lazima kwa mwajiri kutoa hati ya kazi (Certificate of Service)?

  • Je ni vigezo vipi utumika katika kutoa stahiki baada ya kuachishwa kazi?

  • Je ni ipi tafsiri ya kiinua mgongo

  • Je ni mahakama zipi zenye kusikiliza migogoro ya kazi?

  • Je ni upi utaratibu wa kuwasilisha lalamiko katika tume ya Upatanishi?

  • Je ndani ya muda gani mwajiriwa anapaswa kuwasilisha lalamiko lake?

  • Je mkataba wa ajira wa maandishi unatakiwa kuwa na vipengele gani?

  • Je mtoto anaweza kuajiriwa?


Sheria Kiganjani

SHERIA KIGANJANI inapenda kutanguliza shukurani zake za dhati kabisa kwa wewe uliyepitia tovuti hii ili kuweza kupata msaada au ushauri wa kisheria mtandaoni. Tafadhali sambaza ujumbe na usisite kumtaarifu jirani, rafiki au ndugu mwenye maswali na uhitaji wa huduma zetu za kisheria. Kumbuka “KUTOKUJUA SHERIA HAKUWEZI KUMWONDELEA HATIA MTUHUMIWA”

Soma Zaidi

Mawasiliano

Anuani:
House No. 436
Near Dar Free Market Mall
ADA Estate off Tunisia Road
P.O.BOX 6622 Dar Es Salaam
Namba Ya Simu:
+255 621 900 555
info@sheriakiganjani.or.tz
Tembelea:

Ramani

Copyright © 2022 All Right Reserved Sheria Kiganjani | Powered by Bluefin Solutions LTD