Kwa mujibu wa kifungu namba 57(1) cha sheria ya mtoto, kuasili mtoto kunahitaji idhini ya wazazi/mzazi wa mtoto.