Je mtoto analiyeasiliwa anaweza kupelekwa nje ya nchi na mtu aliyemwasili? Kwa mujibu wa kifungu namba 73(1) cha sheria ya mtoto, mtoto aliyeasiliwa anaweza kupelekwa nje ya nchi kwa idhini maalumu. Kwa Maelezo Zaidi Wasiliana Nasi