Je jamii inawajibu wa kuwalinda watu mwenye ulemavu? Kwa mujibu wa kifungu namba 54 cha sheria ya watu wenye ulemavu, jamii inao wajibu wa kuwalinda watu wenye ulemavu. Kwa Maelezo Zaidi Wasiliana Nasi