Je nini maana ya Ndoa batilifu? Ndoa batilifu ni ndoa halali na itaendelea kuwa hivyo hadi hapo mahakama itakapoitengua kwa kuombwa na mwanandoa mmojawapo. Kwa Maelezo Zaidi Wasiliana Nasi