? Kwa mujibu wa kifungu namba 33 (1) cha sheria ya watu wenye ulemavu waajiri wanao wajibu wa kutobagua watu wenye ulemavu katika maeneo yafuatayo
Matangazo ya kazi
Sifa za kuajiri
Katika viwango vya mishahara
Katika mafao ya kazi
Katika utoaji wa vifaa vya kazi