? Kwa mujibu wa kifungu namba 62 (I) (i) na (ii) cha sheria ya watu wenye ulemavu, adhabu zitolewazo kwa mtu/taasisi itakayo vunja matakwa ya sheria ya watu wenye ulemavu ni kama ifuatavyo,
Kwa taasisi ni faini isiyopungua milioni mbili na isiyozidi milioni ishirini
Kwa mtu binafsi faini isiyopungua laki tano na isiyozidi milioni saba au kifungo cha mwaka mmoja au vyote kwa pamoja.