? Tanzania imesaini mikataba ya kimataifa inayolinda haki za wanawake kama,
? Mkataba wa kimataifa wa kuondoa aina zote za ubaguzi dhidi ya wanawake wa mwaka 1979
? Mkataba nyongeza wa Haki za Wanawake Barani Afrika wa mwaka 2003