? Kwa mujibu wa ibara ya 24 ya katika ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, wanawake wanayo haki ya kumiliki mali kama ilivyo kwa watu wengine.
? Pia kifungu namba 56 cha sheria ya ndoa inatoa haki ya mwanamke kumiliki mali.