Kwa mujibu wa ibara ya 16 ya katiba ya muungano wa Tanzania, ukatili dhidi ya wanawake hauruhusiwi.
Pia, mikataba ya kimataifa ambayo Tanzania imekwisha isaini, inazuia ukatili dhidi ya wanawake.