Je wanawake wanayo haki ya kuomba na kutoa taraka? Kwa mujibu wa kifungu namba 99 cha sheria ya ndoa, wanawake wanayo haki ya kuomba na kutoa taraka kwa mwenzi wake. Kwa Maelezo Zaidi Wasiliana Nasi