? Kwa mujibu wa kifungu namba 68 cha sheria ya ndoa, mjane anazo haki zifuatazo,
Kuishi mahali popote apendapo
Kutokuolewa tena au kuolewa na mwanaume yoyote ampendaye bila kuathiri matakwa ya sheria ya ndoa.