Hadhi na Imani ya marehemu wakati wa kifo chake ndiyo inayoamua Sheria gani itumike katika kushughulikia mirathi yake. Kwa ujumla, mojawapo ya, Sheria zifuatazo hutumika;
Sheria ya serikali
Sheria ya Kimila
Sheria ya dini ya kiislamu.kuhusu mirathi