Je, mtoto wa nje ya ndoa ana haki ya kurithi? Mtoto wa nje ya ndoa hana haki ya kurithi, isipokuwa tu kama ametajwa na kugawiwa fungu katika wosia wa marehemu. Kwa Maelezo Zaidi Wasiliana Nasi