Wajane au mjane hurithi ? kama marehemu ameacha watoto
Wajane au mjane hurithi kama marehemu hakuacha watoto
Wazazi hupewa ? ya salio baada ya kuondoa fungu la mjane au wajane
Mali inayobaki hugawanywa katika mafungu matatu. Watoto wa kiume hupata mafungu mawili na watoto wa kike hupata fungu moja
Mgane hupewa ya mali ya marehemu mke wake kama kuna watoto au kama hakuna watoto.