Muusia anaweza kumnyima mrithi sehemu ya urithi wake ikiwa mrithi;
Amezini na mke wa muusia.
Amejaribu kumuua, amemshambulia au amemdhuru vibaya muusia au mama mzazi wa mrithi.
Bila sababu ya haki, hakumtunza muusia kutokana na njaa au ugonjwa.
Ameharibu mali ya muusia. Uharibifu huo utahesabika katika kukadiria kiwango cha urithi atakachostahili kupata.