Nakala ya cheti cha kifo cha marehemu
Nakala ya kikao cha wanandugu cha kumchagua msimamizi wa mirathi
Tamko la mwombaji kwamba atasimamia mirathi kwa uaminifu
Kiapo cha wanandugu kwamba wamemteua mwombaji kuwa msimamizi wa mirathi
Kiapo cha mashahidi wakimdhamini mwombaji na kwamba wako tayari kutoa
fidia endapo mwombaji atashindwa kusimamia vizuri ugawaji wa mali hizo.