Nakala ya muhtasari wa kumbukumbu wa kikao cha ukoo.
Nakala ya wosia, iwapo marehemu aliacha wosia.
Majina ya warithi halali wa mali za marehemu
Cheti cha kifo
Cheti cha ndoa, iwapo marehemu aliacha mke/mume
Vyeti vya kuzaliwa vya watoto
Taarifa muhimu za marehemu: majina, tarehe ya kufariki, jina la mwombaji, orodha ya mali alizoacha marehemu
Nakala au taarifa zozote zitakazo hitajika mahakamani