Sheria ya Ajira na Mahusiano Kazini imeigawa mikataba ya ajira katika aina kuu tatu ambazo ni;
a) Mkataba isiyokuwa na muda maalum
b) Mkataba wa muda maalum
c) Mkataba wa kazi maalum