Uhalali wa mkataba ni lazima ujengwe katika nguzo kuu tano ambazo ni:
a) Makubaliano
b) hiari ya kuingia mkataba
c) malipo halali
d) sifa/vigezo vya kuweza kuingia katika mkataba
e) uhalali wa shughuli yenyewe itakayofanyika