Sheria ya Ajira na Mahusiano Kazini imeweka kiwango cha juu cha kufanya kazi kama ifuatavyo;
a) Siku 6 kwa wiki
b) Saa 45 kwa wiki
c) Saa 9 kwa siku