Mwajiriwa anastahili likizo ya ugonjwa ya siku 126. Likizo hii imegawanyika katika mafungu mawili;
a) Siku 63 za kwanza za likizo ya ugonjwa, ambazo zitakuwa na malipo kamili ya mshahara.
b) Siku 63 za pili za likizo ya ugonjwa, ambazo zitakuwa na malipo ya nusu mshahara.