Ndiyo, mfanyakazi ana angalau siku 4 za likizo, isiyoathiri mshahara wake, kwa sababu zifuatazo:
Ugonjwa au kifo cha mtoto wa mfanyakazi
Kifo cha mke wa mfanyakazi, mzazi, bibi au babu, mjukuu au kitukuu