a) TUCTA: Shirikisho huru la vyama vya wafanyakazi-huu ni munganiko wa vyama vyote
b) RAAWU: chama cha watafiti na waalamu wafanyakazi mbalimbali?????.
c) CWT: Chama cha Walimu Tanzania
d) CHODAWU: Chama cha wafanyakazi wa mahotelini, mshambani na majumbani (please cross-check)
e) TUICO: Chama cha wafanyakazi wa viwandani na taasisi za fedha
f) JT: Chama cha waandishi wa Habari
g) TAMICO: Chama Cha wafanyakazi wa Migodi na Ujenzi (please cross-check)
h) TALGWU: Chama Cha wafanyakazi wa Serikali za mitaa
i) TUGHE: Chama cha wafanyakazi wa serikali kuu na Afya (kindly cross-check)