Baadhi ya stahiki hizi zinatolewa kulingana na vigezo mbalimbali kama:
a) Sababu ya kukatishwa mkataba
b) Aina ya mkataba wa ajira
c) Muda ambao mwajiriwa amehudumu katika ajira