Kwa mujibu wa sheria ya Taasisi za Kikazi, utatuzi wa migogoro ya ajira inashughulikiwa na vyombo vifuatavyo:-
a) Tume ya Upatanishi na usuluhishi
b) Mahakama kuu ya Tanzania (kitengo cha kazi)
c) Mahakam ya Rufani.