a) Mlalamikaji ajaze fomu maalum na nakala ya fomu hiyo atapewa mwajiri ambaye mlalamikaji anamlalamikia ili malalamikiwa au walalamikiwa wajibu madai dhidi yao.
b) Tume itawaita wahusika wote.