a) Muda wa kuwasilisha lalamiko lake tangu kuachishwa kazi utokee ni ndani ya siku 30.
b) Migogoro mingine yoyote ya kikazi haina budi kuwasilishwa ndani ya siku 90 tangu ilipotokea.