Je mtoto ana haki ya kupata uraia? Kwa mujibu wa kifungu namba 6 (1) ya Sheria Mtoto, Mtoto anayo haki ya kupata uraia. Kwa Maelezo Zaidi Wasiliana Nasi