Kwa mujibu wa kifungu namba 8 (1) ya sheria ya mtoto, wazazi/ walezi wanawajibu ufuatao kwa mtoto wa kumhakikishia haki zifuataza,
chakula
malazi
mavazi
Huduma ya afya
Elimu
Uhuru
Kucheza na kupumzika