Kwa mujibu wa kifungu namba 34(1) cha sheria ya Mtoto, wafuatao wanaweza kuleta ombi la mahakamani la mtoto kulelewa na mtu fulani
Mtoto
Mzazi wa mtoto
Mlezi wa mtoto
Afisa ustawi wa jamii