Hadhi na Imani ya marehemu wakati wa kifo chake ndiyo inayoamua Sheria gani itumike katika kushughulikia mirathi yake. Kwa ujumla, mojawapo ya, Sheria zifuatazo hutumika;
• Sheria ya serikali
• Sheria ya Kimila
• Sheria ya dini ya kiislamu.kuhusu mirathi