Mgawanyo wa mali kwa sheria ya serikali huwa kama ifuatavyo; • Kama marehemu ameacha mjane na watoto, mjane atapata ? ya mali zote za marehemu na watoto watapata ? ya mali zote za marehemu. • Kama marehemu hakuacha watoto, mjane atapata ˝ ya mali zote za marehemu na ˝ nyingine hugawanywa sawasawa kati ya wazazi, kaka na dada za marehemu.