• Wajane au mjane hurithi ? kama marehemu ameacha watoto
• Wajane au mjane hurithi Ľ kama marehemu hakuacha watoto
• Wazazi hupewa ? ya salio baada ya kuondoa fungu la mjane au wajane
• Mali inayobaki hugawanywa katika mafungu matatu. Watoto wa kiume hupata mafungu mawili na watoto wa kike hupata fungu moja
• Mgane hupewa Ľ ya mali ya marehemu mke wake kama kuna watoto au ˝ kama hakuna watoto.