Wosia unaweza kuhifadhiwa ama kutunzwa mahali popote palipo na usalama na ulinzi ili kuepuka kughushiwa mfano;
• Ofisi ya kabidhi wasii mkuu (RITA)
• Kwenye vyombo vya kutoa msaada wa kisheria
• Asasi za kidini kama kanisani au msikiti
• Katika kampuni ya uwakili
• Kwa mtu yeyote asiye mrithi katika wosia husika
• Benki
• Mahakamani, n.k.