• Nakala ya cheti cha kifo cha marehemu
• Nakala ya kikao cha wanandugu cha kumchagua msimamizi wa mirathi
• Tamko la mwombaji kwamba atasimamia mirathi kwa uaminifu
• Kiapo cha wanandugu kwamba wamemteua mwombaji kuwa msimamizi wa mirathi
• Kiapo cha mashahidi wakimdhamini mwombaji na kwamba wako tayari kutoa
fidia endapo mwombaji atashindwa kusimamia vizuri ugawaji wa mali hizo.