• Nakala ya muhtasari wa kumbukumbu wa kikao cha ukoo.
• Nakala ya wosia, iwapo marehemu aliacha wosia.
• Majina ya warithi halali wa mali za marehemu
• Cheti cha kifo
• Cheti cha ndoa, iwapo marehemu aliacha mke/mume
• Vyeti vya kuzaliwa vya watoto
• Taarifa muhimu za marehemu: majina, tarehe ya kufariki, jina la mwombaji, orodha ya mali alizoacha marehemu
• Nakala au taarifa zozote zitakazo hitajika mahakamani