• Madai ya wosia uliogushiwa
• Madai ya kwamba wosia uliandaliwa wakati muusia hana akili timamu au kwa kulazimishwa.
• Madai ya wosia kutokidhi sifa zinazohitajika.
• Matumizi mabovu ya mali za marehemu na msimamizi wa mirathi.