KUHUSU SHERIA KIGANJANINjia Rahisi Na Ya Haraka Kupata Msaada Wa Kisheria Kiganjani Mwako

Kwa mujibu wa kifungu cha 8 cha Kanuni ya Adhabu (The Penal Code), Sura ya 16 ya Sheria za Tanzania kutokujua sheria hakuwezi kumwondolea hatia mtuhumiwa. Utaratibu huu hutumika katika mataifa yote pale ambapo shauri linasikilizwa mahakamani au katika vyombo vingine vyenye hadhi ya kimahakama (Quasi-Judicial bodies). Utaratibu huu hutumika katika masuala yote ya kisheria, ikujumuisha pia mashauri ya madai. Kwa hiyo, ni wajibu wa kila mtu katika jamii kujua sheria, angalau zile zinazozunguka maisha yake ya kila siku, ili inapotokea kwamba ameingia katika mgogoro basi ujuzi alionao umsaidie. Hakuna anayehurumiwa kwa kigezo cha kutokujua Sheria.

Kwa bahati mbaya, kutokana na uhaba wa wanasheria katika nchi yetu, na ukweli kwamba wengi kati ya wanasheria wachache waliopo wanafanyia shughuli zao mijini, sehemu kubwa ya Watanzania ...

Soma Zaidi...
01 About

Huduma Zetu

SHERIA ZA MSINGI

Ndoa na taratibu zake

Fahamu Kwa undani kuhusiana na sheria ya Ndoa na taratibu zake

Soma zaidi

Sheria ya Kodi

Fahamu Kwa undani kuhusiana na sheria Sheria ya Kodi

Soma zaidi

Urithi na Mirathi

Fahamu Kwa undani kuhusiana na sheria Urithi na Mirathi

Soma zaidi

Ajira, kazi na Hifadhi ya Jamii

Fahamu Kwa undani kuhusiana na Ajira, kazi na Hifadhi ya Jamii

Soma zaidi

Raslimali Ardhi

Fahamu Kwa undani kuhusiana na sheria ya Raslimali Ardhi

Soma zaidi

Haki za watoto wanawake na watu wenye ulemavu

Fahamu Kwa undani kuhusiana na sheria

Soma zaidi
01 Team
3.5M+
AUDIENCE REACHED
27,960+
LEGAL ENQUIRIES RESOLVED
5,852+
DOCUMENTS DOWNLOADED
1,735+
ADVOCATES CONNECTED

MAFANIKIO YETUShuhuda / Shukrani

Angalia kile Wateja Wetu Wenye Furaha Wanasema

Timu Yetu

Wabia Wetu