Je, inawezekana shahidi katika shauri la madai kugeuka upande? Ndiyo. Katika shauri lolote (Jinai au Madai) Shaihidi anaweza kubadili upande kwa sababu zake binafsi. Kwa Maelezo Zaidi Wasiliana Nasi