Makala

01 Admin Post
Neema Kibodya 2020-11-20 16:17:16
USIMAMIZI BORA WA MIRATHI KWA MAENDELEO YA FAMILIA

Uzoefu unaonesha kuwa, matatizo mengi hujitokeza katika familia au koo pale mtu anapofariki. Matatizo hayo hutokana na kutokujua taratibu za kusimamia na kugawamaliza marehemu kwa warithi wanaotambulika kisheria.

Soma Zaidi
01 Admin Post
Manace Ndoroma 2018-09-19 10:56:33
HAKI ZA BINADAMU

Hizi ni haki ambazo mtu anazipata mara tu anapozaliwa, na anaendelea kuwa nazo hadi kifo chake. Kwa maneno mengine, kitendo cha kuzaliwa ukiwa mwanadamu na si kiumbe kingine kinakupa moja kwa moja haki fulanifulani ambazo viumbe vingine havina

Soma Zaidi
01 Admin Post
Manace Ndoroma 2018-09-18 19:42:30
HAKI YA FIDIA KATIKA ARDHI

Ardhi ni Mali. Mali ni kitu au bidhaa yoyote yenye thamani. Kiwango cha thamani ya mali kinaweza kutofautiana kutoka mtu mmoja hadi mwingine, ama kutoka eneo moja kwenda eneo lingine

Soma Zaidi

Timu Yetu