Je, upande upi wa shauri unajukumu la kuthibitisha ukweli wa ungamo lililotendeka? Uapande wa mwendesha mashtaka ndio hupewa jukumu la kuthibitisha ukweli juu ya ungamo lilofanywa na mtuhumiwa. Kwa Maelezo Zaidi Wasiliana Nasi