Je, nini maana ya mtihani/maswali mtambuka (cross examination)? Mtihani mtambuka au maswali mtambuka ni aina ya maswali anayoulizwa shahidi na upande wa pili wa shauri. Kwa Maelezo Zaidi Wasiliana Nasi