Je, shahidi anaruhusiwa kusoma au kujikumbusha kitu wakati wa maswali mtambuka? Ndiyo. Shahidi anapewa wasaa wakupitia hati alizoandaa ili kujibu maswali ya mtambuka kwa ushahihi na ufasaha mkubwa. Kwa Maelezo Zaidi Wasiliana Nasi