? Sera ya Taifa ya Maendeleo ya Wanawake na jinsia ina malengo yafuatayo,
? Kuweka mazingira muafaka yatakayowezesha wanawake na wanaume kutekeleza majukumu yao katika jamii kwa kuzingatia mahitaji yao kijinsia.
? Kusawazisha mapungufu yanayojitokeza katika ushirikishwaji wa wanawake katika shughuli za maendeleo.