Je wanawake wanayo haki ya mgawanyo wa mali pale nahakama inapotoa taraka? Kwa mujibu wa kifungu namba 114 cha sheria ya ndoa, wanawake wanayo haki ya mgawanyo wa mali pale mahakama inapotoa taraka. Kwa Maelezo Zaidi Wasiliana Nasi