Mgawanyo wa mali kwa sheria ya serikali huwa kama ifuatavyo;
Kama marehemu ameacha mjane na watoto, mjane atapata ? ya mali zote za marehemu na watoto watapata ? ya mali zote za marehemu.
Kama marehemu hakuacha watoto, mjane atapata ya mali zote za marehemu na nyingine hugawanywa sawasawa kati ya wazazi, kaka na dada za marehemu.