: Mgawanyo wa mali kwa sheria ya kiislamu huzingatia mambo yafuatayo;
Sharti ithibitike kwamba mwenye mali ameshafariki (maut-al-muwarith)
Kuwepo na warithi halali wa marehemu, yaani watoto wa marehemu na ndugu wengine na wote wawe warithi hakika wanaotambulika kisheria wakati wa mauti ya marehemu. (hayat-al-warith)
Marehemu awe ameacha mali
Urithi utokane na mali halisi na halali za marehemu.