Wosia wa mdomo ni lazima uzingatie yafuatayo;
Wosia ushuhudiwe na mashahidi wanne, wawili wawe wa ukoo na wawili wawe watu baki.
Muusia awe na akili timamu.
Kama mashahidi watakufa kabla ya muusia basi wosia huo hautakubalika.